2 Fal. 24:18 SUV

18 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Hamutali, binti Yeremia wa Libna.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 24

Mtazamo 2 Fal. 24:18 katika mazingira