2 Fal. 24:20 SUV

20 Maana kwa sababu ya hasira ya BWANA mambo hayo yalitokea katika Yerusalemu na katika Yuda, hata alipokuwa amewaondosha wasiwe mbele ya uso wake; naye Sedekia akamwasi mfalme wa Babeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 24

Mtazamo 2 Fal. 24:20 katika mazingira