2 Fal. 25:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa kenda wa kutawala kwake, katika mwezi wa kumi, na siku ya kumi ya mwezi huo, Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akaja, yeye na jeshi lake lote, kupigana na Yerusalemu, akapanga hema zake kuukabili; nao wakajenga ngome juu yake pande zote.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 25

Mtazamo 2 Fal. 25:1 katika mazingira