3 Hakika kwa amri ya BWANA mambo hayo yalimpata Yuda, ili waondoshwe kutoka machoni pake, kwa sababu ya dhambi zake Manase, kadiri ya yote aliyoyafanya;
Kusoma sura kamili 2 Fal. 24
Mtazamo 2 Fal. 24:3 katika mazingira