2 Fal. 24:7 SUV

7 Basi mfalme wa Misri hakuja tena kutoka nchi yake; kwa kuwa mfalme wa Babeli alikuwa amemnyang’anya nchi, tangu kijito cha Misri mpaka mto wa Frati, yote aliyokuwa nayo mfalme wa Misri.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 24

Mtazamo 2 Fal. 24:7 katika mazingira