8 Yekonia alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani wa Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 24
Mtazamo 2 Fal. 24:8 katika mazingira