22 Na kwa habari ya watu waliosalia katika nchi ya Yuda, aliowasaza Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akamweka Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani awe liwali juu yao.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 25
Mtazamo 2 Fal. 25:22 katika mazingira