21 Naye mfalme wa Babeli akawapiga, na kuwaua huko Ribla katika nchi ya Hamathi. Hivyo Yuda wakachukuliwa utumwani kutoka nchi yao.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 25
Mtazamo 2 Fal. 25:21 katika mazingira