2 Fal. 25:25 SUV

25 Lakini ikawa katika mwezi wa saba Ishmaeli mwana wa Nethania, mwana wa Elishama, mmoja wa wazao wa kifalme, na watu kumi pamoja naye, wakamwendea Gedalia, wakampiga hata akafa, na hao Wayahudi na Wakaldayo waliokuwa pamoja naye huko Mispa.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 25

Mtazamo 2 Fal. 25:25 katika mazingira