21 Basi Wamoabi wote waliposikia ya kuwa wafalme hao wamekwea ili kupigana nao, walijikusanya pamoja, wote wawezao kuvaa silaha, na wenye umri zaidi, wakasimama mpakani.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 3
Mtazamo 2 Fal. 3:21 katika mazingira