22 Wakaamka asubuhi na mapema, na hilo jua likameta-meta juu ya maji, na Wamoabi wakayaona yale maji yaliyowaelekea kuwa ni mekundu kama damu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 3
Mtazamo 2 Fal. 3:22 katika mazingira