2 Fal. 3:27 SUV

27 Ndipo akamtwaa mwanawe wa kwanza, yeye ambaye angetawala mahali pake, akamtoa awe sadaka ya kuteketezwa juu ya ukuta. Kukawa hasira kuu juu ya Israeli; basi wakatoka kwake, wakarudi kwenda nchi yao wenyewe.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 3

Mtazamo 2 Fal. 3:27 katika mazingira