2 Fal. 4:2 SUV

2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 4

Mtazamo 2 Fal. 4:2 katika mazingira