31 Na Gehazi akawatangulia, akaiweka ile fimbo juu ya uso wa mtoto; lakini hapakuwa na sauti, wala majibu. Basi akarudi ili kumlaki, akamwambia, akisema, Mtoto hakuamka.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:31 katika mazingira