2 Fal. 4:38 SUV

38 Elisha akafika Gilgali tena; na kulikuwa na njaa katika nchi; na hao wana wa manabii walikuwa wakikaa mbele yake. Akamwambia mtumishi wake, Teleka sufuria kubwa, uwapikie wana wa manabii.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 4

Mtazamo 2 Fal. 4:38 katika mazingira