39 Na mmoja wao akaenda nje kondeni ili kuchuma mboga, akaona mtango-mwitu, akayachuma matango-mwitu, hata nguo yake ikawa imejaa, akaja akayapasua-pasua sufuriani; kwa maana hawakuyajua.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:39 katika mazingira