43 Na mtumishi wake akasema, Je! Niwaandikie hiki watu mia? Lakini akasema, Uwape watu, ili wale; kwa kuwa BWANA asema hivi, Watakula na kusaza.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:43 katika mazingira