2 Fal. 4:42 SUV

42 Tena, akaja mtu kutoka Baal-shalisha, akamletea mtu wa Mungu chakula cha malimbuko, mikate ishirini ya shayiri, na masuke mabichi ya ngano guniani. Akasema, Uwape watu, ili wale.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 4

Mtazamo 2 Fal. 4:42 katika mazingira