41 Lakini yeye akasema, Leteni unga. Naye akautupa ndani ya sufuria; akasema, Wapakulie watu, ili wale. Wala hakikuwamo kitu kibaya sufuriani.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:41 katika mazingira