6 Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:6 katika mazingira