7 Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Enenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:7 katika mazingira