8 Hata ikawa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 4
Mtazamo 2 Fal. 4:8 katika mazingira