2 Fal. 5:5 SUV

5 Mfalme wa Shamu akasema, Haya! Basi, mimi nitampelekea mfalme wa Israeli waraka. Basi akaenda zake, akachukua mikononi mwake talanta kumi za fedha, na vipande vya dhahabu elfu sita, na mavazi kumi.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 5

Mtazamo 2 Fal. 5:5 katika mazingira