6 Akampelekea mfalme wa Israeli waraka ule, kusema, Waraka huu utakapokuwasilia, tazama, nimemtuma mtumishi wangu Naamani kwako, ili upate kumponya ukoma wake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 5
Mtazamo 2 Fal. 5:6 katika mazingira