2 Fal. 5:8 SUV

8 Ikawa, Elisha, yule mtu wa Mungu, aliposikia kwamba mfalme wa Israeli ameyararua mavazi yake, ndipo akatuma mtu kwa mfalme, akisema, Mbona umeyararua mavazi yako? Na aje sasa kwangu mimi, naye atajua ya kuwa yuko nabii katika Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 5

Mtazamo 2 Fal. 5:8 katika mazingira