10 Mfalme wa Israeli akapeleka watu mpaka mahali pale alipoambiwa na yule mtu wa Mungu, na kuhadharishwa; akajiokoa nafsi yake, si mara moja, wala si mara mbili.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 6
Mtazamo 2 Fal. 6:10 katika mazingira