2 Fal. 6:11 SUV

11 Basi mfalme wa Shamu moyo wake ukamfadhaika sana kwa ajili ya jambo hili; akawaita watumishi wake, akawaambia, Je! Hamtanionyesha, ni mtu yupi miongoni mwenu aliye upande wa mfalme wa Israeli?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:11 katika mazingira