20 Hata walipokwisha kuingia Samaria, Elisha akasema, BWANA wafumbue macho watu hawa, wapate kuona. BWANA akawafumbua macho wakaona; kumbe! Walikuwa katikati ya Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 6
Mtazamo 2 Fal. 6:20 katika mazingira