19 Elisha akawaambia, Njia hii siyo, na mji huu sio, nifuateni mimi, nami nitawapeleka kwa mtu yule mnayemtafuta. Akawapeleka Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 6
Mtazamo 2 Fal. 6:19 katika mazingira