2 Fal. 6:18 SUV

18 Na walipomtelemkia Elisha akamwomba BWANA, akasema, Uwapige, nakusihi, watu hawa kwa upofu. Akawapiga kwa upofu sawasawa na neno la Elisha.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:18 katika mazingira