2 Fal. 6:23 SUV

23 Basi akawaandalia chakula tele; nao walipokwisha kula na kunywa, akawaacha, wakaenda zao kwa bwana wao. Na vikosi vya Shamu havikuja tena katika nchi ya Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:23 katika mazingira