22 Akamjibu, Usiwapige; je! Ungetaka kuwapiga watu ambao umewatwaa mateka kwa upanga wako na uta wako? Weka chakula na maji mbele yao, wapate kula na kunywa, na kwenda kwa bwana wao.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 6
Mtazamo 2 Fal. 6:22 katika mazingira