2 Fal. 6:33 SUV

33 Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:33 katika mazingira