1 Elisha akasema, Lisikieni neno la BWANA; BWANA asema hivi, Kesho panapo saa hii, kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, langoni pa Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 7
Mtazamo 2 Fal. 7:1 katika mazingira