15 Wakawafuata mpaka Yordani; na kumbe! Njia yote ilikuwa imejaa mavazi na vyombo, walivyovitupa Washami, wapate kukimbia upesi. Watu wale waliotumwa wakarudi, wakamwambia mfalme.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 7
Mtazamo 2 Fal. 7:15 katika mazingira