16 Katika mwaka wa tano wa Yoramu mwana wa Ahabu mfalme wa Israeli, [Yehoshafati alipokuwa mfalme wa Yuda], alianza kutawala Yehoramu mwana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 8
Mtazamo 2 Fal. 8:16 katika mazingira