2 Fal. 8:15 SUV

15 Ikawa siku ya pili yake, akatwaa tandiko la kitanda, akalichovya katika maji, akalitandaza juu ya uso wake, hata akafa. Na Hazaeli akatawala badala yake.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 8

Mtazamo 2 Fal. 8:15 katika mazingira