14 Ndipo akamwacha Elisha, akarudi kwa bwana wake; naye akamwambia, Elisha alikuambiaje? Akajibu, Aliniambia ya kuwa bila shaka utapona.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 8
Mtazamo 2 Fal. 8:14 katika mazingira