13 Hazaeli akasema, Lakini mimi mtumwa wako ni nani, mimi niliye mbwa tu, hata nifanye jambo hili kubwa? Elisha akajibu, BWANA amenionyesha ya kwamba wewe utakuwa mfalme juu ya Shamu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 8
Mtazamo 2 Fal. 8:13 katika mazingira