19 Walakini BWANA hakupenda kuiharibu Yuda, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, kama alivyomwahidia akasema, kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 8
Mtazamo 2 Fal. 8:19 katika mazingira