12 Wakasema, Ni uongo; haya, tuambie. Akasema, Aliniambia haya na haya, akisema, BWANA asema hivi, Nimekutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:12 katika mazingira