22 Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu, akasema, Je! Ni amani, Yehu? Akajibu, Amani gani, maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:22 katika mazingira