24 Yehu akavuta upinde wake kwa nguvu zake zote, akampiga Yoramu kati ya mikono yake, hata mshale ukamtoka penye moyo wake, akaanguka katika gari lake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:24 katika mazingira