2 Fal. 9:25 SUV

25 Ndipo Yehu akamwambia Bidkari, akida wake, Mtwae ukamtupe katika kiwanja cha Nabothi, Myezreeli; maana kumbuka, hapo mimi na wewe tulipokuwa tumepanda farasi zetu, na kumfuata Anabu baba yake, BWANA alimwekea mzigo huu, akasema;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 9

Mtazamo 2 Fal. 9:25 katika mazingira