26 Hakika, jana nimeiona damu ya Nabothi, na damu ya wanawe, asema BWANA; nami nitakulipa katika kiwanja hiki, asema BWANA. Basi sasa mtwae huyu ukamtupe katika kiwanja hicho, sawasawa na neno la BWANA.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:26 katika mazingira