33 Akasema, Mtupeni chini. Basi wakamtupa chini; na damu yake ikamwagika nyingine juu ya ukuta, na nyingine juu ya farasi, naye akamkanyaga-kanyaga.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:33 katika mazingira