2 Fal. 9:34 SUV

34 Alipoingia, akala, na kunywa; kisha akasema, Haya! Mwangalieni mwanamke huyu aliyelaaniwa, mkamzike; kwa maana ni binti mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 9

Mtazamo 2 Fal. 9:34 katika mazingira