6 Akainuka akaingia nyumbani; naye akayamimina yale mafuta kichwani mwake, akamwambia, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nimekutia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa BWANA, yaani, juu ya Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:6 katika mazingira