7 Nawe utawapiga nyumba ya Ahabu, bwana wako, ili nijilipize kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii, na damu ya watumishi wote wa BWANA, mkononi mwa Yezebeli.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:7 katika mazingira