2 Nya. 20:25 SUV

25 Nao Yehoshafati na watu wake walipokuja kuchukua nyara zao, wakaona kati yao wingi wa mali, na mavazi, na johari za thamani, walivyojivulia, zaidi kuliko wawezavyo kuchukua; wakawa siku tatu katika kuteka nyara, maana zilikuwa nyingi sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 20

Mtazamo 2 Nya. 20:25 katika mazingira